Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Afya
na Sayansi Shirikishi Muhimbili,
(MUHAS) Profesa Ephata Kaaya akiuaga mwili wa Mhadhiri wa wa chuo hicho , marehemu, Profesa
Zakaria Mbwambo , ambaye ni mume wa Katibu Mkuu wa Wizara ya Afrika
Mashariki, Bi . Joyce Mapunjo leo kwenye viwanja vya chuo hicho jijini Dar
es Salaam.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Afrika Mashariki, Bi. Joyce Mapunjo akifarijiwa na baadhi ya waambolezaji leo, wakati wa kuuaga mwili wa marehemu mumewe Profesa Zakaria Mbwambo, ambaye alikuwa ni Mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi Shirikishi Muhimbili, (MUHAS) kwenye viwanja vya chuo hicho jijini Dar es Salaam.
Baadhi ya maprofesa wa Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi Shirikishi Muhimbili, (MUHAS), wakitoa heshima za mwisho kwa mwili wa Profesa mwenzao , marehemu, Profesa Zakaria Mbwambo , ambaye ni mume wa Katibu Mkuu wa Wizara ya Afrika Mashariki, Bi . Joyce Mapunjo leo kwenye viwanja vya chuo hicho jijini Dar es Salaam.
Baadhi ya maprofesa wa Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi Shirikishi Muhimbili, (MUHAS), wakitoa heshima za mwisho kwa mwili wa Profesa mwenzao, marehemu, Profesa Zakaria Mbwambo , ambaye ni mume wa Katibu Mkuu wa Wizara ya Afrika Mashariki, Bi. Joyce Mapunjo leo kwenye viwanja vya chuo hicho jijini Dar es Salaam.
Mwili wa Mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi Shirikishi Muhimbili, (MUHAS) , marehemu, Profesa Zakaria Mbwambo , ambaye ni mume wa Katibu Mkuu wa Wizara ya Afrika Mashariki, Bi . Joyce Mapunjo ukiwasili leo kwenye viwanja vya chuo hicho jijini Dar es Salaam. Pembeni ni baadhi ya maprofesa wenzao wakiusindikiza.
Baadhi ya Maprofesa wa Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi Shirikishi Muhimbili (MUHAS), wakiwa katika hali ya huzuni wakati wa kuuaga mwili wa Profesa mwenzao , marehemu, Profesa Zakaria Mbwambo , ambaye ni mume wa Katibu Mkuu wa Wizara ya Afrika Mashariki, Bi . Joyce Mapunjo leo kwenye viwanja vya chuo hicho jijini Dar es Salaam.
Baadhi ya waombezaji wakiwa katika hafla ya kuuaga mwili huo. (Picha zote na Magreth Kinabo - Maelezo)

No comments:
Post a Comment