Katibu wa Bunge Maalum la Katiba, Yahaya Khamis Hamad, akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) leo, kuhusu kuendelea kwa Bunge Maalum la Katiba kwa niaba ya Mwenyekiti wa Bunge hilo, Samuel Sitta katika ukumbi wa mikutano wa Ofisi Ndogo za Bunge jijini Dares Salaam.
Baadhi ya waandishi wa habari, wakiwa kwenye mkutano huo, wakimsikiliza na kunukuu habari zilizokuwa zikitolewa na Katibu wa Bunge Maalum la Katiba, Yahaya Khamis Hamad, alipokuwa akizungumza nao katika mkutano huo, uliohusu kuendelea kwa Bunge Maalum la Katiba kwa niaba ya Mwenyekiti wa Bunge hilo, Samuel Sitta, Ofisi Ndogo za Bunge jijini Dares Salaam leo. (Picha na Magreth Kinabo - MAELEZO)
No comments:
Post a Comment