TANGAZO


Saturday, July 12, 2014

Benki ya Wananchi wa Zanzibar (PBZ) yafutarisha

*Rais Dk. hein aalikwa

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Alhaj Dk. Ali Mohamed Shein, akijumuika na viongozi mbalimbali na wananchi, katika futari iliyoandaliwa na Benki ya Watu za Zanzibar (PBZ), katika ukumbi wa Salama, Bwawani Hotel, mjini Zanzibar jana.
Baadhi ya wananchi wa Manispaa ya  Mji wa Zanzibar na wateja wa Benki ya watu wa Zanzibar (PBZ), wakiwa katika futari iliyoandaliwa na benki hiyo, katika ukumbi wa Salama, Bwawani Hotel jana. (Picha zote na Ramadhan Othman, Ikulu)

No comments:

Post a Comment