Mkurugenzi wa Mawasiliano wa Airtel Tanzania, Beatrice
Singano Mallya (kulia) akikabidhi msaada wa vyakula mbalimbali vyenye
thamani ya milioni 5/- kwa wawakilishi wa kituo cha kulelea watoto
waliokatika mazingira magumu cha New Hope Family cha Mjimwema Kigamboni
(kutoka kushoto), Mlezi wa Kituo, Merry Stromberg, Victor Mshan, Anthony
Mtatiro na Mwenyekiti wa kituo, Omari Kombe, katika hafla iliyofanyika
jijini Dar es Salaam jana. Airtel kupitia mpango wake wa huduma kwa
jamii imeanza kutoa futari kwa vituo vitano vinavyolea watoto hao vya
Sharif Saidi Al - Bath cha Mwanza, Al- Hidaya Children's Home cha Ilala,
Irishad Madrasah cha Mbezi kwa Msuguri na Kiboa Orphanage Arusha.

Irishad Madrasah cha Mbezi kwa Msuguri na Kiboa Orphanage Arusha. Wa
(pili kulia) ni Meneja wa Huduma kwa Jamii wa Airtel, Hawa Bayuni.
Mkurugenzi wa Mawasiliano wa Airtel Tanzania, Beatrice Singano Mallya
(kulia) akikabidhi msaada wa vyakula mbalimbali vyenye thamani ya
milioni 5/- kwa wawakilishi wa kituo cha kulelea watoto waliokatika
mazingira magumu cha New Hope Family cha Mjimwema Kigamboni (kutoka wa
pili kushoto), Mlezi wa Kituo, Merry Stromberg, Victor Mshan, Anthony
Mtatiro na Mwenyekiti wa kituo, Omari Kombe, katika hafla iliyofanyika
jijini Dar es Salaam jana. Airtel kupitia mpango wake wa huduma kwa
jamii imeanza kutoa futari kwa vituo vitano vinavyolea watoto hao vya
Sharif Saidi Al - Bath cha Mwanza, Al- Hidaya Children's Home cha Ilala,
Irishad Madrasah cha Mbezi kwa Msuguri na Kiboa Orphanage Arusha.
Kushoto ni Meneja wa Huduma kwa Jamii wa Airtel, Hawa Bayuni. (Picha zote na mpigapicha wetu)
No comments:
Post a Comment