Mkuu wa Vipindi wa Redio ya Efm 93.7, Dikson Ponela ‘Dizo’ (kushoto), akikabidhi msaada wa vifaa vya usafi kwa ajili ya wadi ya akina mama katika wa Hospitali ya Palestina iliyopo Sinza, jijini Dar es Salaam jana, kwa mganga wa zamu, Dk Ally Njama, kama ishara ya shamrashamra za ujio wa redio hiyo mpya ya kijamii. Katikati ni Mhariri Mkuu wa redio hiyo, Samira Kiango.
Mkuu wa Vipindi wa Redio ya Efm 93.7, Dikson Ponela ‘Dizo’ (kushoto), akikabidhi msaada wa vifaa vya usafi kwa ajili ya wadi ya akina mama katika wa Hospitali ya Palestina iliyopo Sinza, jijini Dar es Salaam jana, kwa mganga wa zamu, Dk Ally Njama, kama ishara ya shamrashamra za ujio wa redio hiyo mpya ya kijamii.

Mtangazaji wa vipindi vya mwambao wa redio ya Efm 93.7, Mary Bossa, akikabidhi zawadi kwa mmoja wa akina mama wajawazito waliolazwa katika wadi ya kinama ya Hospitali ya Palestina ya Sinza, jijini Dar es Salaam jana, ikiwa ni sehemu ya shamrashamra za uzinduzi wa redio hiyo mpya ya kijamii.
Wafanyakazi wa Redio ya Efm wakikabidhi zawadi kwa mmoja wa
wagonjwa waliolazwa katika Hospitali ya Palestina ya Sinza, Dar es Salaam,
wakati walipotembelea hospitali hiyo jana, kama sehemu ya uzinduzi wa kituo
hicho. (Picha zote na Mpigapicha Wetu)
No comments:
Post a Comment