KWA MAWASILIANO: E-mail: kassimmrajab@yahoo.co.uk SIMU: 0715830004.
Pages
Home
NWANKO KANU ATEMBELEA WAGONJWA WA MOYO MUHIMBILI
About Us
View the slide show
TANGAZO
Thursday, June 26, 2014
Mgombea wa nafasi ya Urais wa Klabu ya Simba, Evans Aveva azindua kampeni zake jijini leo
Mgombea urais wa Kalabu ya Simba ya jijini Dar es salaam Bw. Evans Aveva akizunngmza na waandishi wa habari kwenye hoteli ya Raha Tower jijini Dar es salaam leo wakati akitangaza rasmi uzinduzi wa kampeni zake, uchaguzi wa klabu hiyo unatarajiwa kufanyika Juni 29 kwenye ukumbi wa Police wa Oysterbay jijini Dar es salaam, Kushoto ni Mwenyekiti Mstaafu wa klabu hiyo Mzee Hassan Dalali ambaye ni Meneja wake wa kampeni.
Mgombea wa Umakamu wa rais wa klabu hiyo Bw. Godfrey Nyange :Kaburu” akiwa katika mkutano huo uliofanyika katika jengo la Raha Tower jijini Dar es salaam.
Kushoto ni Mtangazaji wa Radio One Bw. Maulid Kitenge na Mulamu Ghambi mmoja wa wanachama wa kundi la Friendes Of Simba na mwanachama wa Klabu hiyo wakiwa katika mkutano
huo.
Mgombea wa Umakamu wa rais wa klabu hiyo Bw. Godfrey Nyange :Kaburu” naye akizungumza na waandishi wa habari kwenye mkutano huo.
No comments:
Post a Comment
Newer Post
Older Post
Home
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment