Kocha mpya wa Yanga SC, Marcio Maximo baada ya kutua Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere, Dar es Salaam.
Kocha Marcio Maximo ametua jijini Dar muda mfupi uliopita kwa ajili ya kukamilisha mchakato wa kuanza kuifundisha timu ya Yanga. Maximo amepokelewa kwa shangwe katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere na mashabiki wa Yanga.
No comments:
Post a Comment