Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Watu wa China, Mhe. Li Yuanchao
(kulia) akiangalia jengo la Makao Makuu ya Ofisi ya Shirika la Reli la Tanzania
na Zambia (TAZARA) mara baada ya kuwasili Makao Makuu ya shirika hilo leo jijini
Dar es Salaam kwenda kuangalia miundo mbinu ikiwemo mabehewa na injini za treni
za shirika hilo.

(kushoto) akiangalia ramani ambayo reli ya TAZARA inapita kuanzia kituo cha Dar
es Salaam wakati alipotembelea Makao Makuu ya Shirika la Reli la Tanzania na
Zambia (TAZARA) leo jijini Dar es Salaam kwa ajili ya kuangalia miundo mbinu
ikiwemo mabehewa na injini za treni za shirika hilo. Kulia ni Waziri wa
Uchukuzi, Mhe. Harrison Mwakyembe.

(katikati) akielekea katika moja ya treni ya Shirika la Reli la TAZARA kwa
ajili ya kuelekea katika moja ya kituo cha Mizigo cha treni ya TAZARA kilichopo
Yombo jiji Dar es Salaaam.
Waziri wa Uchukuzi, Mhe. Harrison Mwakyembe (katikati) akiwa
amekaa ndani ya moja ya treni ya abiria tayari kuelekea katika kituo cha Mizigo
cha treni ya TAZARA kilichopo Yombo jiji Dar es Salaaam. Kulia ni mgeni wake
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Watu wa China, Mhe. Li Yuanchao
Waziri wa Uchukuzi, Mhe. Harrison Mwakyembe akishuka toka
ndani ya treni ya abiria ya TAZARA kuelekea katika kituo cha mizigo cha TAZARA
kilichopo mtaa wa Yombo jijini Dar es Salaam.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Watu wa China, Mhe. Li Yuanchao
akishuka toka ndani ya treni ya abiria ya TAZARA kuelekea katika kituo cha
mizigo cha TAZARA kilichopo mtaa wa Yombo jijini Dar es Salaam kwa ajili ya
kupatiwa maelezo ya kina kuhusiana na reli hiyo.
Waziri wa Uchukuzi, Mhe. Harrison Mwakyembe (kushoto) akimpa
maelezo Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Watu wa China, Mhe. Li Yuanchao (kulia) kuhusiana
na shughuli zifanywazo na kituo cha kuhifadhia mizigo inayobebwa na treni ya
Shirika la TAZARA wakati alipotembelea katika kituo hicho leo jijini Dar es
Salaam.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Watu wa China, Mhe. Li Yuanchao
(kushoto) akimshukuru Waziri wa Uchukuzi, Mhe. Harrison Mwakyembe (kulia) mara
baada ya kupata maelezo mazuri kuhusu kazi zifanywazo na Makao Makuu ya Shirika
la TAZARA.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Watu wa China, Mhe. Li Yuanchao
(wa pili toka kulia) akiwa katika picha ya pamoja na mwenyeji wake Waziri wa
Uchukuzi, Mhe. Harrison Mwakyembe (kulia) mara baada ya kukamiliha ziara ya
kutemebelea Makao Makuu ya Shirika la Reli la Tanzania na Zambia (TAZARA) leo
jijini Dar es Salaam. (Picha zote na Benedict Liwenge-MAELEZO)
No comments:
Post a Comment