Joharia Issa akipunga mikono alipokua akiwasalimia waalikwa waliohudhuria Tafrija ya kumfunda iliyoandaliwa na wazazi wake katika ukumbi wa Milla uliopo Chamwino Dodoma.
Joharia Issa (kushoto) na mpambe wake wakilishana Keki wakati wa Tafrija ya kufundwa kwake kulikofanyika katika ukumbi wa Milla hivi karibuni.
Joharia Issa akitembea kwa magoti na kumpa mkono wa pongezi Mama Mkwe wake Mtarajiwa aliyefika kumshuhudia alipokua akifundwa na wazazi wake katika tafrija fupi iliyofanyika katika ukumbi wa Milla Dodoma.
Miriamu Pirimanangu akifungua muziki na msimamizi wake Mary Mushi (kushoto), kwenye ukumbi wa Vijana, mjini Dodoma wakati wa sherehe ya kumuaga iliyoandaliwa na wazazi wake.
Miriamu Pirimanangu akifungua muziki na msimamizi wake Mary Mushi (kushoto), kwenye ukumbi wa Vijana, mjini Dodoma wakati wa sherehe ya kumuaga iliyoandaliwa na wazazi wake.
Miriam Pirimanangu (aliyekaa kushoto) pamoja na msimamizi wake Mary Mushi akiwa na wazazi wake Bwana na Bibi Piri Manangu, na walezi wake Bwana na Bibi Vicent Zakaya kwenye picha ya pamoja wakati wa Tafrija ya kumuaga iliyofanyika katika ukumbi wa Vijana Dodoma.
Miriam Pirimanangu akiwa katika pozi la picha na msimamizi wake Mary Mushi aliyepo kulia kabla ya kuingia katika ukumbi wa Vijana Dodoma kwa ajili ya tafrija ya kuagwa na wazazi wake.
Miriam akimlisha keki ya kumshukuru kwa malezi Mlezi wake Vicent Zakayo wakati wa tafrija ya kumuaga.
Miriam Pirimanangu akiwana wapambe wake walioipamba tafrija ya kuagwa aliyofanyiwa na walezi wake katika ukumbi wa vijana Dodoma. (Picha zote na John Banda, Dodoma)
No comments:
Post a Comment