Mgombea wa nafasi ya Urais wa Klabu ya Simba, Evans Aveva akijinadi mbele
ya wanachama, waishio Kibaha (hawapo pichani) wakati wa kampeni ya kuwania uongozi
ndani ya klabu hiyo jana. Kushoto ni Mwenyekiti wa zamani wa klabu hiyo,
Hassani Dalali na mwanachama aliyefahamika kwa jina moja la Bi. Hindu.
Mwenyekiti wa zamani wa klabu ya Simba, Hassan Dalali, akizungumza kwenye kampeni ya klabu ya soka ya Simba muda
mfupi kabla ya kumnadi mgombe wa nafasi ya Urais Evans Aveva, alipokuwa kwenye
ziara hiyo, mjini Kibaha jana. Kulia kwake ni Hussein Kilanga, Mlezi wa tawi la Simba Tishio na kushoto ni Evans Aveva. (Picha zote na Omary Said)
No comments:
Post a Comment