Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Bi. Sihaba Nkinga, akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani), leo jijini Dar es Salaam, kuhusu maadhimisho ya siku ya Uanuwai wa Utamaduni Duniani inayoadhimishwa kila ifikapo tarehe 21 Mei, ya kila mwaka. Kushoto ni Mkurugenzi wa Maendeleo ya Utamaduni, Prof. Hermas Mwansoko.
Katibu Mkuu Wizara ya Habari,
Vijana, Utamaduni na Michezo, Bi. Sihaba Nkinga akifafanua jambo wakati wa
mkutano na waandishi wa habari, Dar es Salaam leo, kuhusu maadhimisho ya siku ya Uanuwai wa
Utamaduni Duniani ambayo mwaka huu yataadhimishwa katika viwanja vya Mnazi
Mmoja jijini Mei 21. (Picha zote na Genofeva Matemu – Afisa Mawasiliano Serikalini WHVUM)
No comments:
Post a Comment