Mganga Mkuu wa Mkoa wa Mara, Dk. Samson Winani akitoa uzoefu wa Mkoa wake wa mkakati wa kupunguza vifo vya mama mjamzito na watoto wachanga. (Picha na Magreth Kinabo –MAELEZO)
Baadhi ya Wakuu wa Mikoa na Waganga wakuu wa Mikoa wakiwa katika semina kuhusu kuboresha afya ya uzazi na watoto iliyofanyika leo kwenye ukumbi wa Mwalimu J.K. Nyerere jijini Dares Salaam.

Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Dk. Rehema Nchimbi akizungumza jambo kwenye semina hiyo.

No comments:
Post a Comment