TANGAZO


Monday, May 12, 2014

Rais Kikwete aongoza Sherehe Siku ya Wauguzi Duniani jijini Arusha

Wauguzi wakiandamana wakati wa maadhimisho ya Siku ya Wauguzi Duniani wakiwa na mabango mbalimbali katika uwanja wa michezo wa Sheikh Amri Abeid jijini Arusha leo. (Pich zote na Freddy Maro) 
Wauguzi wakiandamana wakati wa maadhimisho ya Siku ya Wauguzi Duniani wakiwa na mabango mbalimbali katika Uwanja wa michezo wa Sheikh Amri Abeid mjini Arusha leo. 
Baadhi ya wauguzi waliohudhuria sherehe za siku ya wauguzi duniani wakifuatilia kwa makini Hotuba ya mgeni rasmi, Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete mjini Arusha leo. (Picha na Freddy Maro)
Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akisikiliza kwa makini jinsi wauguzi  wanavyotoa huduma ya afya kwa wagonjwa wakati alipotembelea mojawapo ya mabanda ya maonyesho ya Wauguzi wakati wa maadhimisho ya Siku ya Wauguzi Duniani yaliyofanyika kitaifa katika uwanja wa Kumbukumbu ya Sheikh Amri Abeid jijini Arusha leo.

No comments:

Post a Comment