Mkurugenzi wa Mawasiliano, Ofisi ya Rais, Salva Rweyemamu na mkewe, Isabella wakielekea kuweka shada la maua kwenye kaburi la mtoto wao, Private Brian Rweyemamu. (Picha zote na Ikulu)
Mkurugenzi wa Mawasiliano, Ofisi ya Rais, Salva Rweyemamu na mkewe, Isabella wakiweka shada la maua kwenye kaburi la mtoto wao, Private Brian Rweyemamu.
Dada wa Marehemu Private Brian Rweyemamu, wakiweka shada la maua wakati wa mazishi katika Makaburi ya Kinondoni, jijini Dar es Salaam leo, Mei 17, 2014.
Rais Jakaya Kikwete na Mama Salma Kikwete, wakielekea kuchukua mashada ya maua, wakati wa mazishi ya Private Brian Rweyemamu katika makaburi ya Kinondoni jijini Dar es Salaam leo.
Rais Jakaya Kikwete na mkewe, Mama Salma, wakiweka shada la maua kwenye kaburi la Private Brian Rweyemamu.
No comments:
Post a Comment