Wanakijiji wa Kijiji cha Maisha Plus ambao ni Vijana wa Maisha Plus pamoja na Mama shujaa wa Chakula wakimsikiliza kwa makiniMkurugenzi wa Oxfam Tanzania Jane Foster ambaye hayupo
Kutoka kulia ni Mkurugenzi wa Oxfam Tanzania Jane Foster, Mkamiti Mgawe wa Oxfam na Babu kutoka kijiji cha Maisha Plus Rajabu Msumi wakiongea na washiriki wa Maisha Plus na Mama Shujaa wa Chakula.
Mkamiti Mgawe (wa tatu kutoka kushoto), akimtambulisha Markia wa Kijiji cha Maisha Plus kwa Mkurugenzi wa OxfamTanzania, Jane Foster
Mkurugenzi wa Maisha Plus akioneshwa Shughuli mbalimbali zinazofanywa na wanakijiji wa Kijiji cha Maisha Plus.
Mkurugenzi wa Oxfam Tanzania Jane Foster akioneshwa moja ya jiko lililotengenezwa na Akina mama Shujaa wa Chakula pamoja na Vijana wa Maisha Plus.
Mkurugenzi wa Oxfam Tanzania Jane Foster akioneshwa moja ya Ghala la kienyeji na imara kwa ajili ya kuhifadhia vyakula.
No comments:
Post a Comment