TANGAZO


Wednesday, May 14, 2014

Kinana ampongeza Mkuu wa Mkoa wa Tabora kuanzisha Kijiji cha vijana Sikonge alichokikagua leo


 Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akizungumza na vijana wa Kijiji cha Vijana cha Path Finder  Green Village alipotembelea na kukagua miradi mbalimbali iliyopo katika kijiji hicho chenye jumla ya vijana 88kilichopo umbali wa Km 40 kutoka Sikonge Mjini, wakati wa ziara yake ya kuimarisha uhai wa chama, kukagua miradi inayotekelezwa kwa kufuata IIani ya CCM, kukagua maandalizi ya Uchaguzi wa Serikali za Mitaa pamoja na kusikiliza kero za wananchi na kuzitatua.

Kijiji hicho kinaendesha miradi ya ujenzi wa nyumba za kuishi vijana, ufugaji kuku, ufugaji nyuki, kilimo, kujifunza ufundi wa aina mbalimbali..

Kijiji hicho kimenzishwa na Mkuu wa Mkoa wa Tabora, Fatma Mwassa kwa lengo la kuwapunguzia umasikini vijana waliokosa fulsa ya elimu wilayani humo.

 Katibu Mkuu wa CCM, Kinana akisaidia kufunga tumbaku huku akisaidiwa na mmoja wa vijana wa Kituo cha Vjana cha Path Finder Green Village, wilayani Sikonge, Tabora.
 Mmoja wa vijana wa kituo hicho, akifunga tumbaku katika kituo hicho























No comments:

Post a Comment