Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akiwa na Mbunge wa Tabora Mjini, Aden Rage na Katibu wa Afya Mkoa wa Tabora, Khamis Dinya alipokuwa akikagua jinsi ukarabati wa Hospitali ya Rufaa ya Tabora na ujenzi wa Chuo cha Unesi cha Tabora ulivyotelekezwa na Kampuni ya Ujenzi ya Humphrey, iliyopewa tenda hiyo tangu mwaka 2011, licha ya kulipwa kiasi kikubwa cha fedha. (Picha zote kwa hisani ya Kamanda wa Matukio Blog)
Baadhi ya wodi ambazo ukarabati wake umefanywa na kampuni hiyo, iliyopewa tenda na Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii.
Baadhi ya majengo ya Chuo cha Unesi Tabora ambayo ujenzi wake umetelekezwa. Wakati wa ziara yake katika Manispaa ya Tabora Kinana alifanya ukaguzi na kuzungumza na watumishi wa Hospitali ya Kitete.
No comments:
Post a Comment