Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni ya PUMA
Energy Tanzania, Bw. Phillipe Corsaletti akiongea katika uzinduzi wa Vilainishi
vya Castrol vilivyoendana na uzinduzi wa kituo kipya cha Mafuta kilichopo
Oysterbay jijini Dar es Salaam.
Wageni na wafanyakazi wa kampuni ya PUMA
Energy Tanzania wakifuatilia uzinduzi wa Vilainishi vya Castrol vilivyoendana na
uzinduzi wa kituo kipya cha Mafuta kilichopo Masaki jijini Dar es
Salaam.
Muonekano wa Kituo Kipya cha Mafuta
kilichopo Masaki jijini Dar es Salaam.
Gari litakalotumiwa katika mashindano ya
Magari yanayotarajia kufanyika Mwishoni mwa wiki.
Wateja wakipatiwa huduma na wafanyakazi
wa kampuni ya PUMA Energy Tanzania.
Meneja Mauzo
wa Vilainishi vya Castrol, Gilbert Chacha akizungumza wakati wa uzinduzi ambapo
alisema kuwa Vilaainishi vya Castrol vina ubora wa kimataifa na hutumika katika
magari, viwanda, meli, ndege. Kwa sasa wana aina mbili za Vilainishi hivyo
Castrol GTX 20W50 na GTX Diesel 15W40. Pembeni yake niMshereheshaji Shebe
Machumani na dereva wa gari la Mashindano.
Meneja wa Usalama wakati wa Kazi wa
Kampuni ya PUMA Energy Tanzania, Jonathan Mmari akizungumza
machache.
Walioko mbele
kutoka kushoto ni Mwenyekiti wa Bodi ya kampuni ya PUMA Energy Tanzania, Dkt.
Ben Moshi na Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni ya PUMA Energy Tanzania, Bw.
Phillipe Corsaletti wakiwa na wageni waalikwa wakati wa uzinduzi wa Vilainishi
vya Castrol vilivyoendana na uzinduzi wa kituo kipya cha Mafuta kilichopo
Oysterbay jijini Dar es Salaam.
Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni ya PUMA
Energy Tanzania, Bw. Phillipe Corsaletti akionyesha picha ya sanamu
itakayotumika kutambulisha vilainishi vya Castrol wakati wa uzinduzi wa
Vilainishi vya Castrol vilivyoendana na uzinduzi wa kituo kipya cha Mafuta
kilichopo Oysterbay jijini Dar es Salaam. Pembeni yake ni Mshereheshaji Shebe
Machumani.
Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni ya PUMA
Energy Tanzania, Bw. Phillipe Corsaletti na Mshereheshaji Shebe Machumani
wakionyesha vilainishi vya Castrol. (Picha zote kwa hisani ya Cathbert Kajuna wa
Kajunason Blog)
No comments:
Post a Comment