Baadhi ya wakazi wa Kata ya Ighombwe wakimsikiliza Katibu Mkuu wa CCM, ndugu Kinana alipokuwa akiwahutubia.
Katibu
Mkuu wa CCM, ndugu Abdulrahman Kinana akihutubia wakazi wa Kata ya
Ighombwe na kuwataka kudumisha moyo wa mshikamano katika kuleta
maendeleo ya pamoja.
Baadhi ya wakazi wa Kata ya Ighombwe, wakila kiapo baada ya baadhi yao, kujiunga na chama hicho, cha CCM katika mkutano huo.
Katibu
Mkuu wa CCM, ndugu Kinana (haoenekani pichani), akizungumza na wananchi
baada ya kushiriki ujenzi wa Zahanati ya Kata ya Sepuka, wilayani Ikungi.
Katibu
Mkuu wa CCM, ndugu Abdulrahman Kinana akihutubia wananchi wa Sepuka, wilayani Ikungi, Jimbo la Singida Magharibi na kuwataka kuungana katika
kushiriki kuleta maendeleo, hasa yale yanayohusu jamii kama kujenga
shule, maabara na zahanati.

Wananchi wakiwa katika mkutano huo, wakinyanyua mikono kumunga mkono Katibu Mkuu Kinana.
Mkutano wa hadhara uliondaliwa na CCM, ukiendelea katika Viwanja vya Shule ya Sekondari ya Sepuka, wilayani Ikungi, Singida Magharibi.
Katibu
MKuu wa CCM, ndugu Abdulrahman Kinana (haonekani vizuri pichani),
akizindua shina la Vijana wa Bodaboda katika Kata ya Puma, wilayani
Ikungi, mkoani Tabora.
Katibu MKuu wa CCM, ndugu Abdulrahman Kinana akizindua shina la Kina mama wa UWT, ambao hujishughulisha na shughuli mbalimbali za ujasiriamali,
ikiwemo, ushonaji wakiwa katika kikundi cha Ebeneza, Puma, wilayani
Ikungi, mkoani Tabora.
Katibu
Mkuu wa CCM, ndugu Abdulrahman Kinana akishiriki kuvuna viazi vitamu
pamoja na Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye na Mwenyekiti wa
CCM Mkoa wa Singida, Mgana Msindai kwenye shamba la mkulima Bernardo
Razalo.
Baadhi ya wakazi wa Kata ya Ighombwe wakimsikiliza Katibu Mkuu wa CCM, ndugu Kinana alipokuwa akiwahutubia.
Katibu
Mkuu wa CCM, ndugu Abdulrahman Kinana akihutubia wakazi wa Kata ya
Ighombwe na kuwataka kudumisha moyo wa mshikamano katika kuleta
maendeleo ya pamoja.
Baadhi ya wakazi wa Kata ya Ighombwe, wakila kiapo baada ya baadhi yao, kujiunga na chama hicho, cha CCM katika mkutano huo.
Katibu
Mkuu wa CCM, ndugu Kinana (haoenekani pichani), akizungumza na wananchi
baada ya kushiriki ujenzi wa Zahanati ya Kata ya Sepuka, wilayani Ikungi.
Katibu
Mkuu wa CCM, ndugu Abdulrahman Kinana akihutubia wananchi wa Sepuka, wilayani Ikungi, Jimbo la Singida Magharibi na kuwataka kuungana katika
kushiriki kuleta maendeleo, hasa yale yanayohusu jamii kama kujenga
shule, maabara na zahanati.
![]() |
Wananchi wakiwa katika mkutano huo, wakinyanyua mikono kumunga mkono Katibu Mkuu Kinana. |
Mkutano wa hadhara uliondaliwa na CCM, ukiendelea katika Viwanja vya Shule ya Sekondari ya Sepuka, wilayani Ikungi, Singida Magharibi.
Katibu
MKuu wa CCM, ndugu Abdulrahman Kinana (haonekani vizuri pichani),
akizindua shina la Vijana wa Bodaboda katika Kata ya Puma, wilayani
Ikungi, mkoani Tabora.
Katibu MKuu wa CCM, ndugu Abdulrahman Kinana akizindua shina la Kina mama wa UWT, ambao hujishughulisha na shughuli mbalimbali za ujasiriamali,
ikiwemo, ushonaji wakiwa katika kikundi cha Ebeneza, Puma, wilayani
Ikungi, mkoani Tabora.
Katibu
Mkuu wa CCM, ndugu Abdulrahman Kinana akishiriki kuvuna viazi vitamu
pamoja na Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye na Mwenyekiti wa
CCM Mkoa wa Singida, Mgana Msindai kwenye shamba la mkulima Bernardo
Razalo.
No comments:
Post a Comment