TANGAZO


Wednesday, April 9, 2014

Waziri wa Mambo ya Nje Bernard Membe, Naibu Spika Job Ndugai waongelea suala la raia pacha ubalozi wa Tanzania nchini Marekani

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Mhe. Beranard Membe akiongoza mazungumuzo ya Raia Pacha alipokua akiongea na Rais wa Jumuiya ya Watanzania DMV Bw. Idd Sandaly na Katibu wake Amos Cherehani (hawapo pichani), wakiwemo maofisa wa Ubalozi na baadhi ya Wana DMV, kwenye Ubalozi wa Tanzania nchini Marekani jana, April 8, 2014, alipokaribishwa chakula cha jioni Ubalozini hapo huku Naibu spika Mhe. Job Ndungai akiongezea mawili matatu. 
Mhe. Bernard Membe akiongelea suala la Raia pacha. Kulia ni Naibu Spika Job Ndungai akifuatilia mazangumuzo hayo.

Kushoto ni Rais wa Jumuiya ya Watanzania DMV, Rasi Idd Sandaly na Mhe. Balozi Liberata Mulamula wakifuatilia mazungumuzo hayo.
Kikao hicho kikiendelea kujadili masuala hayo jana.

No comments:

Post a Comment