Mwenyekiti wa Kamati namba 9 ya Bunge Maalum la Katiba, Kidawa Hamid Salehe (katikati), akimkabidhi Makamu Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba, Samia Suluhu Hassan ripoti ya kamati hiyo ya majadiliano ya Sura za Kwanza na ya Sita ya Rasimu ya Pili ya Katiba, mjini Dodoma leo. (Picha na Magreth Kinabo-Maelezo)
Mwenyekiti wa Kamati namba 2 ya Bunge Maalum la Katiba, Waziri Kiongozi mstaafu, Shamsi Vuai Nahodha, akitoa maelezo kabla kukabidhi kwa Makamu Mwenyekiti wa bunge hilo, Samia Suluhu Hassan (kulia), ripoti ya kamati hiyo, kuhusu majadiliano ya Sura ya Kwanza na ya Sita za Rasimu ya Pili ya Katiba, Ofisi za Bunge mjini Dodoma leo. (Picha zote na Kassim Mbarouk-www.bayana.blogspot.com)
Mwenyekiti wa Kamati namba 2 ya Bunge Maalum la Katiba, Waziri Kiongozi mstaafu, Shamsi Vuai Nahodha, akitoa maelezo kabla kukabidhi kwa Makamu Mwenyekiti wa bunge hilo, Samia Suluhu Hassan (kulia), ripoti ya kamati hiyo.
Mwenyekiti wa Kamati namba 2 ya Bunge Maalum la Katiba, Waziri Kiongozi mstaafu, Shamsi Vuai Nahodha, akitoa maelezo kabla kukabidhi kwa Makamu Mwenyekiti wa bunge hilo, Samia Suluhu Hassan (kulia), ripoti ya kamati hiyo. Kushoto ni Mwenyekiti wa Kamati namba 11 Anna Kilango.
Wenyeviti wa Kamati namba 10, Anna Abdallah (kushoto), namba 12, Paul Kimiti na Makamu Mwenyekiti wa Kamati namba 11, Hamad Yussuf Masauni wakifuatilia makabidhiano ya ripoti hizo.
Mwenyekiti wa Kamati namba 2 ya Bunge Maalum la Katiba, Waziri Kiongozi mstaafu, Shamsi Vuai Nahodha, akitoa maelezo kabla kukabidhi kwa Makamu Mwenyekiti wa bunge hilo, Samia Suluhu Hassan (kulia), ripoti ya kamati hiyo, mjini Dodoma leo.
Mwenyekiti wa Kamati namba 2 ya Bunge Maalum la Katiba, Waziri Kiongozi mstaafu, Shamsi Vuai Nahodha, akimkabidhi Makamu Mwenyekiti wa bunge hilo, Samia Suluhu Hassan (kulia) ripoti ya kamati hiyo, kuhusu majadiliano ya Sura ya Kwanza na ya Sita za Rasimu ya Pili ya Katiba, Ofisi za Bunge mjini Dodoma leo.
Mwenyekiti wa Kamati namba 11 ya Bunge Maalum la Katiba, Anna Kilango akitoa maelezo kabla ya kukabidhi ripoti ya majadiliano ya kamati yake hiyo, kwa Makamu Mwenyekiti wa Bunge hilo, Samia Suluhu Hassan (kulia), leo mjini Dodoma.
Mwenyekiti wa Kamati namba 11 ya Bunge Maalum la Katiba, Anna Kilango akitoa maelezo kabla ya kukabidhi ripoti ya majadiliano ya kamati yake hiyo, kwa Makamu Mwenyekiti wa Bunge hilo, Samia Suluhu Hassan (kulia), leo mjini Dodoma. Kushoto ni Makamu Mwenyekiti wa Kamati hiyo, Hamad Yussuf Masauni.
Mwenyekiti wa Kamati namba 11 ya Bunge Maalum la Katiba, Anna Kilango akitoa maelezo kabla ya kukabidhi ripoti ya majadiliano ya kamati yake hiyo, kwa Makamu Mwenyekiti wa Bunge hilo, Samia Suluhu Hassan (kulia), leo mjini Dodoma.
Mwenyekiti wa Kamati namba 11 ya Bunge Maalum la Katiba, Anna Kilango akitoa maelezo kabla ya kukabidhi ripoti ya majadiliano ya kamati yake hiyo, kwa Makamu Mwenyekiti wa Bunge hilo, Samia Suluhu Hassan (kulia), leo mjini Dodoma.
Mwenyekiti wa Kamati namba 11 ya Bunge Maalum la Katiba, Anna Kilango, akimkabidhi Makamu Mwenyekiti wa bunge hilo, Samia Suluhu Hassan (kulia) ripoti ya kamati hiyo, kuhusu majadiliano ya Sura ya Kwanza na ya Sita za Rasimu ya Pili ya Katiba, Ofisi za Bunge mjini Dodoma leo. Kushoto ni Makamu Mwenyekiti wa Kamati hiyo, Hamad Yussuf Masauni.
Mwenyekiti wa Kamati namba 12 ya Bunge Maalum la Katiba, Paul Kimiti, akitoa maelezo kabla ya kukabidhi ripoti ya majadiliano ya kamati yake hiyo, kwa Makamu Mwenyekiti wa Bunge hilo, Samia Suluhu Hassan (kulia), leo mjini Dodoma.
Mwenyekiti wa Kamati namba 12 ya Bunge Maalum la Katiba, Paul Kimiti, akikabidhi ripoti ya majadiliano ya kamati yake kwa Makamu Mwenyekiti wa bunge hilo, Samia Suluhu Hassan (kulia), Ofisi za Bunge, mjini Dodoma leo.
Mwenyekiti wa Kamati namba 10 ya Bunge Maalum la Katiba, Anna Abdallah, akitoa maelezo kabla ya kukabidhi ripoti ya majadiliano ya kamati yake hiyo kwa Makamu Mwenyekiti wa Bunge hilo, Samia Suluhu Hassan leo mjini Dodoma. Kushoto ni Makamu Mwenyekiti wake, Salmin Awadh Salmin.
Mwenyekiti wa Kamati namba 10 ya Bunge Maalum la Katiba, Anna Abdallah, akitoa maelezo kabla ya kukabidhi ripoti ya majadiliano ya kamati yake hiyo kwa Makamu Mwenyekiti wa Bunge hilo, Samia Suluhu Hassan leo mjini Dodoma. Kushoto ni Makamu Mwenyekiti wake, Salmin Awadh Salmin.
Mwenyekiti wa Kamati namba 10 ya Bunge Maalum la Katiba, Anna Abdallah, akitoa maelezo kabla ya kukabidhi ripoti ya majadiliano ya kamati yake hiyo kwa Makamu Mwenyekiti wa Bunge hilo, Samia Suluhu Hassan (kulia) leo mjini Dodoma. Kushoto ni Makamu Mwenyekiti wake, Salmin Awadh Salmin.
Mwenyekiti wa Kamati namba 10 ya Bunge Maalum la Katiba, Anna Abdallah, akitoa maelezo kabla ya kukabidhi ripoti ya majadiliano ya kamati yake hiyo kwa Makamu Mwenyekiti wa bunge hilo, Samia Suluhu Hassan (kulia), mjini Dodoma leo.
Mwenyekiti wa Kamati namba 10 ya Bunge Maalum la Katiba, Anna Abdallah, akikabidhi ripoti ya majadiliano ya kamati yake kwa Makamu Mwenyekiti wa bunge hilo, Samia Suluhu Hassan (kulia), Ofisi za Bunge, mjini Dodoma leo.
Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba, Samia Suluhu Hassan, akimshukuru Makamu Mwenyekiti wa Kamati namba 10 ya Bunge Maalum la Katiba, Salmin Awadh Salmin, mara baada ya Mwenyekiti wa kamati hiyo, Anna Abdallah (katikati), kukabidhi ripoti hiyo, mjini Dodoma leo.
No comments:
Post a Comment