Wadau wa muziki wa dansi wakiwa katika picha ya pamoja. |
Wadau wa muziki wa dansi Asha Kigundula na mwandishi wa gazeti la mwananchi. |
Baadhi ya wasanii wa bendi mbalimbali wakiwa katika mdahalo wa muziki wa dansi kutoka kushoto ni King Kiki, Juma Ubao, Mafumo Bilali 'Bombenga' Kassimu Mapili na Waziri. |
Wadau wa muziki wa dansi wakiwa katika picha ya pamoja baada ya kumalizika mdahalo. |
Baadhi ya wadau wa muziki wa dansi wakiwa katika meza kuu. Kushoto ni Mwani Nyangasa, Rose Chitala na kulia ni Muddy Muzungu. |
Baadhi ya wadau wa muziki waliojitokeza katika mdahalo wa muziki wa dansi kutoka kushoto ni , Deo Mutta Mwanatanga, Taasisi Masela na Super Nyamwela wa Extra Bongo. (Picha zote na www.burudanm.blogspot.com)
Mwani Nyangasa (kulia) akiwa na Richard Mangustino.
No comments:
Post a Comment