Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akiwa
na Rais Mstaafu wa Namibia Mhe. Sam Nujoma Ikulu jijini Dar es Salaam
aliyemtembelea leo April 27, 2014. Mhe Nujoma alikuwa ni mmoja wa watu
mashuhuri waliohudhuria sherehe za miaka 50 ya Uhuru jana.
|

Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akimtembezea sehemu mbali mbali za Ikulu Rais Mstaafu wa Namibia Mhe. Sam Nujoma aliyemtembelea leo April 27, 2014. Mhe Nujoma alikuwa ni mmoja wa watu mashuhuri waliohudhuria sherehe za miaka 50 ya Uhuru jana. (Picha zote na Ikulu)
No comments:
Post a Comment