Waziri wa Habari Utamaduni Utalii na Michezo Zanzibar Mhe. Said Ali
Mbarouk, akizungumza na Mwandishi wa habari wa Voice of American Dkt.
Shaka Ssali., alipofika Ofisini kweke kwa mazungumzo.
Mwandishi wa habari mkongwe Dkt. Shaka Ssali, akizungumza na Waziri wa
habari alipofika Ofisini kwake Kikwajuni kwa mazungumzo juu ya maendeleo
ya Afrika. katika sekta ya habari.
Dkt. Shaka Ssali akisisitiza jambo wakati alipokuwa akizungumzia habari
za Bara la Afrika, alipokutana na Waziri wa habari na Waandishi wa
habari waliohudhuria mkutano huo katika ukumbi wa wizara ya habari
Kikwajuni.
Viongozi wa Wizara ya Habari Zanzibar wa kwanza Naibu Waziri wa Habari
Utamaduni Utalii na Michezo Mhe. Bi Bihindi Hamad, Mkurugenzi Mipango wa
Wizara hiyo Mhe. Joseph Kilangi na Mkuu wa Taaluma wa Chuo cha Habari
Zanzibar Rashid Omar wakifuatilia mkutano huo.
Ofisa wa Ubalozi wa Marekani Tanzania Bwa. David Feldmann, akizungumza
na kumtambulisha Dkt. Shaka Ssali kwa Waziri na Waandishi wa Habari wa
Zanzibar, katika ukumbi wa Wizara ya Habari Kikwajuni Zanzibar.
Waandishi wakipata habari katika mkutano huo.
Wakiwa katika picha ya pamoja nje ya jengo la Wizara ya Habari Utamaduni Utalii na Michezo Kikwajuni Zanzibar.
No comments:
Post a Comment