TANGAZO


Wednesday, April 30, 2014

Mkutano wa hadhara wa UKAWA wafanyika Viwanja cha Kibandamaiti mjini Zanzibar

Katibu Mkuu wa Chama cha Wananchi (CUF), Maalim Seif Sharif Hamad (kulia) na viongozi wenzake kutoka Vyama vya upinzani wakimsikiliza Tundu Lissu (hayupo pichani) wakati akihutubia mkutano huo kwenye Uwanja wa Kibandamaiti mjini Zanzibar leo. (Picha zote na Martin Kabemba)
Wenyeviti wa Chama cha CUF Prof. Ibrahim Lipumba, NCCR Mageuzi, James Mbatia (kushoto) na Chadema, Freeman Mbowe wakisikiliza hotuba kwenye mkutano huo leo.
Viongozi wa siasa, Mchungaji Christopher Mtikila (kushoto)wa DP na Emanuel Makaidi wa NLD, wakishangilia kwenye mkutano huo.
Wananchi wakishangilia hotuba ya Maalim Seif kwenye mkutano wa UKAWA uliofanyika kwenye uwanja wa Kibandamaiti mjini Zanzibar leo.
Katibu Mkuu wa CUF, Seif Sharif Hamad akihutubia mamia ya wananchi kwenye mkutano ulioitishwa na UKAWA kwenye uwanja wa Kibandamaiti mjini Zanzibar leo. 
Umati wa wananchi, ukinyoosha vidole vitatu kuunga mkono serikali tatu baada ya kuulizwa na Katibu Mkuu wa CUF, Seif Sharif Hamad kwenye mkutano huo leo.

No comments:

Post a Comment