TANGAZO


Thursday, April 17, 2014

Kongamano la Wakuu na wamiliki wa Vyuo vya Ufundi Stadi Kanda ya Dar es Salaam lafanyika jijini Dar es Salaam


 Mgeni rasmi Sarah Shibelea akifungua kongamano.


 Kaimu Mkurugenzi wa VETA mkoa wa Dar es Salam Bi. Bernadeta Ndunguru akisisitiza jambo baada ya mgeni rasmi kumaliza kufungua kongamano.


 Msherehehaji wa Kongamano hili Bwana Mongele.







Wakuu na wamiliki wa Vyuo vya ufundi stadi  Kanda ya Dar es Salaam.


Mgeni rasmi Sarah Shibelea akiwa kwenye picha ya pamoja na baadhi ya Wakuu na wamiliki wa vyuo vya ufundi stadi  kanda ya Dar es Salaam


Mgeni rasmi Sarah Shibelea akiwa kwenye picha ya pamoja na baadhi ya Wakuu na wamiliki wa vyuo vya ufundi stadi  kanda ya Dar es Salaam. Kongamano la Wakuu na wamiliki wa vyuo vya ufundi stadi  kanda ya Dar es Salaam inayolenga kupata maoni ya wadau juu ya utekelezaji wa mafunzo ya ufundi stadi lililoendeshwa na ofisi ya VETA Kanda ya Dar es Salaam.

No comments:

Post a Comment