TANGAZO


Saturday, April 12, 2014

ACRA yatiliana saini na Jumuiya ya Uhifadhi wa Mji Mkongwe, Zanzibar

Makamu Mwenyekiti wa Jumuiya ya Uhifadhi wa Mji Mkongwe, Mohammed Baloo na Msimamizi Mkuu wa Jumuiya ya ACRA nchini Tanzania, Nicola Morganti Azingira wakitiliana saini ya Makubaliano ya Mradi wa Uhifadhi wa Urithi wa Zanzibar na Kutengeneza ajira (Zanzibar Built Heritage for Job Creation). Makubaliani hayo, yamefanyika katika Ofisi za Jumuiya hiyo, Forodhani mjini Unguja. (Picha zote kwa hisani ya Othamn Abdallah wa ZanziNews Blog)
Makamu  Mwenyekiti wa Jumuiya ya Uhifadhi wa Mji Mkongwe, Mohammed Baloo na Msimamizi Mkuu wa Jumuiya ya ACRA nchini Tanzania, Nicola Morganti, wakibadilishana hati za mikataba baada ya kutiliana saini Mradi wa Uhifadhi wa Urithi wa Zanzibar na Kutengeneza ajira (Zanzibar Built Heritage for Job Creation). Makubaliano hayo, yamefanyika katika Ofisi za Jumuiya hiyo, Forodhani mjini Unguja leo.
Makamu Mwenyekiti wa Jumuiya ya Uhifadhi Mji Mkongwe Mohammed Baloo, akizungumza wakati wa hafla hiyo ya utilianaji wa saini na Jumuiya ya ACRA, katika mradi wao wa miaka mitano.wa Uhifadhi wa Urithi wa Zanzibar na Kutengeneza ajira (Zanzibar Built Heritage for Job Creation) 

Msimamizi Mkuu wa Jumuiya ya ACRA nchini Tanzania Nicola Morganti, akizungumza katika hafla hiyo na kutoa maelezo ya mradi huo, kwa Uongozi wa Jumuiya hiyo, wakati wa kutiliana saini ya makubaliano hayo, ya Mradi wa Uhifadhi wa Urithi wa Zanzibar na Kutengeneza ajira (Zanzibar Built Heritage for Job Creation). Makubaliani hayo, yamefanyika leo katika Ofisi za Jumuiya hiyo, Forodhani mjini Unguja.

Wajumbe wa Bodi ya Udhamini ya Jumuiya hiyo, wakifuatilia hafla hiyo.




No comments:

Post a Comment