Jiandae sasa kupata uhondo huo kwa bei poa ya sh. 500 tu.
Usije ukapitwa na uhondo wa habari ambazo zitakuwa zikiandikwa na kukusanywa na waandishi mahiri na wazoefu katika fani ya habari.
KAA tayari, Kaa mkao wa kula sasa
Naamini hutolibanduka kamwe ukiliona tu mitaani, utalikimbilia kutokana na uhondo ambao tumekuandalia.
Subiri uone mambo makubwa kutoka kwa Gazeti lako hilo jipya.
Ahsante sana, subiri uhondo unakuja.
No comments:
Post a Comment