TANGAZO


Saturday, March 29, 2014

Rais wa Zanzibar Dk Shein kuzindua miradi mitano ya Barabara kisiwani Pembe kesho


Hivi ni baadhi ya vibao vya miradi ya ujenzi wa barabara mbalimbali zilizojengwa kisiwani Pemba, ambazo zitazinduliwa na Rais wa Zanzibar, Dk. Ali Mohamed Shein kesho kisiwani humo.
Moja ya Barabara kisiwani Pemba ya Mtambwe inayotarajiwa kuzinduliwa kesho na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Ali Mohamed Shein.
Mambo ya Miundombinu ya Barabara Kisiwani Pemba imekuwa ni ukombozi kwa Wananchi wa maeneo mbalimbali kurahisisha usafiri na kusafirisha mazao yao kwa urahisin hadi sokoni.

Mwananchi wa Bwagamoyo kisiwani Pemba akizungumza na waandishi wa habari kuhusiana na kukamilika kwa barabara yao ya Mtambwe imerahisisha usafiri na kuwa na uhakika wa usafiri katika kijiji hicho tafauti na hapo nyuma barabara hii ilikuwa ni mtihani kwa wakazi wa Kijiji hiki.








Mafundi wakiweka kibao cha jiwe la msingi kwenye moja ya miradi ya barabara hizo kisiwani humo leo.

No comments:

Post a Comment