TANGAZO


Sunday, March 9, 2014

Rais Kikwete awajulia hali Hospitali ya Muhimbili wanahabari waliopata ajali

 *Mtangazaji Salum Mkambala wa Channel Ten na Magic FM 
*Na Ofisa Habari wa Tume ya Uchaguzi, Margareth Chambiri 

D92A3630-1 (1)
Rais Dk. Jakaya Mrisho Kikwete, akimjulia hali mtangazaji wa kituo cha Televisheni cha Channel Ten na Radio Magic  FM, Salum Mkambala aliyelazwa  Taasisi ya Mifupa ya Hospitali ya Taifa ya Muhimbili (MOI), baada ya kupata ajali na kujeruhiwa vibaya wiki iliyopita.
Rais Dk. Jakaya Mrisho Kikwete, akimsikiliza mtangazaji wa kituo cha Televisheni cha Channel Ten na Radio Magic  FM, Salum Mkambala aliyelazwa  Taasisi ya Mifupa ya Hospitali ya Taifa ya Muhimbili (MOI), alipokwenda kumjulia hali jana, baada ya kupata ajali na kujeruhiwa vibaya wiki iliyopita.
Rais Dk. Jakaya Mrisho Kikwete, akizungumza na mtangazaji wa kituo cha Televisheni cha Channel Ten na Radio Magic FM, Salum Mkambala aliyelazwa  Taasisi ya Mifupa ya Hospitali ya Taifa ya Muhimbili (MOI), alipokwenda kumjulia hali jana, baada ya kupata ajali na kujeruhiwa vibaya wiki iliyopita.
Rais Dk. Jakaya Mrisho Kikwete akijulia hali Ofisa Habari wa Tume ya Uchaguzi, Bi. Margareth Chambiri aliyelazwa katika Tasisi ya MOI Hospitali ya Taifa Muhimbili. Bi. Chambiri aliwahi kufanya kazi katika kituo cha Televisheni ya Taifa TBC. (Picha zote na Freddy Maro-IKULU)

No comments:

Post a Comment