TANGAZO


Saturday, March 29, 2014

Rais Jakaya Kikwete azungumza na Mabalozi wa nchi za Jumuiya ya Ulaya


 Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika mkutano na Mabalozi wa nchi za Jumuiya ya Ulaya (EU) Ikulu jijini Dar es salaam leo. (Picha zote na Ikulu)
Rais Jakaya Kikwete akizungumza na Mabalozi wa nchi za Jumuiya ya Ulaya, Ikulu jijini Dar es Salaam leo.
Rais Jakaya Kikwete akizungumza na Mabalozi  hao wa nchi za Jumuiya ya Ulaya, Ikulu jijini Dar es Salaam leo.
Rais Jakaya Kikwete akizungumza na Mabalozi wa nchi za Jumuiya ya Ulaya, walipofika Ikulu jijini Dar es Salaam leo.

No comments:

Post a Comment