TANGAZO


Saturday, March 29, 2014

Kaseba na Mashali wapima uzito tayari kwa mpambano wao leo ukumbi wa PTA Sabasaba

Bondia Japhert Kaseba akipima uzito kwa ajili ya mpambano wake wa ubingwa na Thomasi mashali kushoto mpambano utakaofanyika PTA Sabasaba siku ya Jumamosi march 29.

Mabondia Thomasi Mashali kushoto na Japhert Kaseba wakiwa na mkanda ambao wataugombania katika ukumbi wa PTA sabasaba siku ya Jumamosi .
Promota wa mpambano huo Ally Mwazoa akizungumza mbele ya waandishi wa habari.
Mabondia Alani Kamote wa Tanga kushoto pamoja na Karage Suba wakiwa na mkanda watakaougombania kesho kwenye ukumbi wa PTA Sabasaba. (Picha zote na www.superdboxingcoach.blogspot.com)
Ally Mwazoa akisisitita jambo.

No comments:

Post a Comment