Mjumbe wa bunge hilo na Mwenyekiti wa Chama cha NCCR Mageuzi, James Mbatia akizungumza katika semina hiyo.
Wajumbe wakifuatilia mada zilizokuwa zikiwasilishwa katika semina hiyo.
Makamu Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba, Samia Suluhu Hassan akiwa mjumbe Tundu Lisu.
Wajumbe wa bunge hilo, wakifuatilia mada zilizokuwa zikiwasilishwa katika semina hiyo.
Wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba, wakifuatilia mada zilizokuwa zikiwasilishwa katika semina hiyo.
Wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba, wakiwa makini wakifuatilia mada zilizokuwa zikiwasilishwa katika semina hiyo kwa wajumbe hao.
Makamu Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba, Samia Suluhu Hassan, akizungumza wakati alipokuwa akiifungua semina hiyo kwa wajumbe wa bunge hilo juzi.
Makamu Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba, Samia Suluhu Hassan, akiifungua semina hiyo kwa wajumbe wa bunge hilo juzi.
Wajumbe wa bunge hilo maalum la Katiba, Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi (CUF), Profesa Ibrahim Lipunga (kulia), Mwenyekiti wa NCCR Mageuzi, James Mbatia na Tundu Lisu wa Chadema, wakizungumza jambo mara baada ya kufunguliwa semina yao hiyo juzi na Makamu Mwenyekiti wa bunge hilo, Samia Suluhu Hassan.
Makamu Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba, Samia Suluhu Hassan (katikati waliokaa), akiwa katika picha ya pamoja na wanasemina hao, mara baada ya kuifungua semina yao hiyo, mjini Dodoma juzi.
Mratibu wa Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania (THRD), Onesmo Olengurumwa, akizungumza jambo na Makamu Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba, Samia Suluhu Hassan, mara baada ya kuifungua semina hiyo juzi.
Mratibu wa Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania (THRD), Onesmo Olengurumwa, akizungumza jambo na Makamu Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba, Samia Suluhu Hassan, mara baada ya kuifungua semina hiyo juzi.
No comments:
Post a Comment