Mshambuliaji wa timu ya Yanga, Mrisho Ngassa akiondoka na mpira huku Beki wa Timu ya Al Ahly ya Misri akitafuta mbinu ya kumzuia wakati wa mchezo wa Klabu Bingwa Barani Afrika, uliochezwa Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam na timu ya Yanga kuibuka na ushindi wa bao 1-0. (Picha kwa hisani ya MTAA KWA MTAA BLOG)
Kikosi cha Yanga kilichojitupa Uwanja wa Taifa kupambana na Al Ahly ya Misri leo.
Kikosi cha Al Ahly ya Misri kilichopambana na timu Yanga ya Tanzania.
Kiungo mchezeshaji wa Yanga, Haroun Niyonzima akitafuta namna ya kuwatoka mabeki wa timu ya Al Ahly ya Misri katika mchezo huo.
Haroun Niyonzima wa Yanga, akizuiwa na beki wa Al Ahly ya Misri, Ramy Abdel Aziz wakati wa mchezo huo.
Kipa wa timu ya Al Ahly ya Misri, Sherif Ekramy Ahmed, akidaka mpira ikiwa ni moja ya hatari iliyoelekezwa langoni kwake na mshambuliaji Hamis Kiiza wa Yanga ya Tanzania.

No comments:
Post a Comment