*Seneta Wako wa Kenya, awasilisha mada kuhusu uzoefu wa utungaji wa Katiba
*Ajibu maswali mbalimabli ya wajumbe wa bunge hilo
Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba, Samuel Sitta, akiendesha semina kwa wajumbe wa bunge hilo, ndani ya ukumbi wa Bunge, mjini Dodoma.
Mwanasheria Mkuu mstaafu na Seneta wa Busia nchini Kenya, Amos Wako, akitoa mada kuhusu uzoefu wa utungaji wa Katiba kwa wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba, kwenye ukumbi wa Bunge, mjini Dodoma leo.

Wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba, Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar, Pandu Ameir Kificho (kushoto) na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Balozi Seif Ali Idd, wakiteta jambo, wakati wa semina yao iliyofanyika ukumbini humo leo.
Mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba, Mwenyekiti wa Chama cha Democratic Party (DP), Mchungaji Christopher Mtikila (kushoto), akichangia mada katika semina yao hiyo.
Baadhi ya wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba, wakimsikiliza Mwanasheria Mkuu mstaafu na Seneta wa Busia nchini Kenya, Amos Wako, wakati alipokuwa akitoa mada hiyo, ukumbini humo katika semina yao hiyo.
No comments:
Post a Comment