Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano Serikalini wa Wizara ya Ujenzi Bw. Mrtin Ntemo akiwaeleza waandishi wa habari, Dar es Salaam, kuhusu maendeleo yaliyofikiwa katika ujenzi wa barabara hapa nchini tangu Serikali ya Awamu ya Nne ilipoingia madarakani . Kulia ni Ofisa Habari wa Idara ya Habari Maelezo, Frank Mvungi.
No comments:
Post a Comment