Mashabiki wa Yanga wakifuatilia mchezo kati ya timu yao hiyo dhidi ya Mbeya City Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam leo.
Mrisho Ngassa akipiga shuti lililoipatia bao la pekee timu yake ya Yanga dhidi ya Mbeya City, Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam leo katika mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom.
Bao pekee alilolifunga Mrisho Ngassa katika mchezo huo, mpira ukitinga wavuni na kumwacha golikipa David Burhan wa Mbeya City.
Mrisho Ngassa akishangilia bao hilo, akiwa na Simon Msuva, wote wa Yanga.
Mrisho Ngassa (wa pili kulia), akishangilia bao hilo pamoja na wachezaji wenzake wa Yanga.
Mrisho Ngassa (wa pili kulia), akishangilia bao hilo pamoja na wachezaji wenzake wa Yanga.
Frank Domayo wa Yanga, akijaribu kumpiga chenga Hassan Mwasapila wa Mbeya City katika mchezo huo jijini leo.
Haruna Niyonzima wa Yanga, akiambaambaa na mpira wakati wa mchezo huo.
Benchi la Ufundi la Yanga, likiongozwa na Kocha Mkuu, Hans Pluijm (kulia) na kocham msaidizi, Charles Mkwasa, wakifuatilia mchezo huo.
Benchi la Ufundi la Yanga, likiongozwa na Kocha Mkuu, Hans Pluijm (kulia) na kocham msaidizi, Charles Mkwasa, wakifuatilia mchezo huo.
Mashabiki wa Mbeya City ya Mbeya, wakifuatilia mchezo huo, dhidi ya Yanga ya jijini Dar es Salaam, Uwanja wa Taifa leo.
Mashabiki wa Mbeya City ya Mbeya, wakifuatilia na kuwahamasisha wachezaji katika mchezo huo, dhidi ya Yanga ya jijini Dar es Salaam, Uwanja wa Taifa leo.
Mashabiki wa Mbeya City ya Mbeya, wakifuatilia na kuwahamasisha wachezaji katika mchezo huo, dhidi ya Yanga ya jijini Dar es Salaam.
Mwagane Yeya wa Mbeya City akikokota mpira huku akifuatwa na Didier Kavumbagu wa Yanga wakati wa mchezo huo leo.
Peter Mapunda wa Mbeya City akijaribu kumtoka Nadir Haroub 'Canavaro' wa Yanga katika mchezo huo.
Peter Mapunda wa Mbeya City akijaribu kuwapiga chenga Nadir Haroub 'Canavaro' na Haruna Niyonzima wote wa Yanga katika mchezo huo.
Peter Mapunda wa Mbeya City akijaribu kumpiga chenga Mbuyu Twitwe wa Yanga katika mchezo huo.
Frank Domayo wa Yanga akiruka juu kuuwahi mpira, uliokuwa ukiwaniwa na Yussuf Abdallah wa Mbeya City.
Didier Kavumbagu wa Yanga akitafuta mbinu ya kumtoka Anthony Matogolo wa Mbeya City katika mchezo huo.
Hadi kipindi cha pili na mwisho wa mchezo, ubao wa matangazo ulikuwa ukionesha Yanga 1 na Mbeya City 0.
David Luhende wa Yanga, akiwania mpira na John Kabanda wa Mbeya City.
David Luhende wa Yanga na John Kabanda wa Mbeya City wakiwania mpira huo.
John Kabanda wa Mbeya City akimtoka David Luhende wa Yanga, wakati wa mchezo huo.
David Luhende wa Yanga, akimtoka John Kabanda wa Mbeya City akimtoka wakati wa mchezo huo.
David Luhende (kulia) wa Yanga, akiwania mpira na John Kabanda wa Mbeya City.
Mashabiki wa Yanga wakifuatilia mchezo kati ya timu yao hiyo dhidi ya Mbeya City Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam leo. |
No comments:
Post a Comment