Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Prof. Elisante Ole Gabriel akizungumza na watumishi wa Wizara hiyo wakati wa kikao kazi jana jijini Dar es Salaam.
Mkurugenzi wa Utawala na Rasilimali Watu wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Bwana Barnabas Ndunguru akielezea jambo kwa watumishi wa wizara hiyo (hawapo pichani) wakati wa kikao kazi kilichofanyika katika ukumbi uliopo uwanjwa wa Taifa jana jijini Dar es Salaam.
Mhasibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Bi. Rose Janetth Bandisa akifafanua hoja za watumishi (hawapo pichani) wakati wa kikao kazi cha wizara hiyo kilichofanyika jana jijini Dar es Salaam. Kulia ni Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Prof. Elisante Ole Gabriel na Mwenyekiti wa TUGHE tawi la Wizara hiyo Bi. Margreth Mtaki.
Mkurugenzi wa Idara ya Habari(MAELEZO) Assah Mwambene akifafanua hoja za watumishi (hawapo pichani) wakati wa kikao kazi cha wizara hiyo kilichofanyika jana jijini Dar es Salaam.
Mkurugenzi wa Idara ya Habari(MAELEZO) Assah Mwambene akiteta jambo na Mkurugenzi wa Utawala na Rasilimali Watu wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Barnabas Ndunguru mara baada ya kumaliza kika kazi cha wizra hiyo jana jijini Dar es Salaam.
Watumishi wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo wakifuatilia mada mbalimbali kutoka kwa viongozi wakati wa kikao kazi cha watumishi wa wizara hiyo jana jijini Dar es Salaam.
Watumishi wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo wakifuatilia mada mbalimbali kutoka kwa viongozi wakati wa kikao kazi cha watumishi wa wizara hiyo jana jijini Dar es Salaam.
Watumishi wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo wakifuatilia mada mbalimbali kutoka kwa viongozi wakati wa kikao kazi cha watumishi wa wizara hiyo jana jijini Dar es Salaam.(Picha zote na Frank Shija - Wizara ya Habari)
No comments:
Post a Comment