TANGAZO


Sunday, February 9, 2014

Wakazi wa jiji la Dar es Salaam watimka na Bodaboda

Baadhi ya washindi wa Promosheni ya Timka na Bodaboda wa Mkoa wa Dar es Salaam, wakiwa wamesimama mbele ya pikipiki zao baada ya kukabidhiwa rasmi na Meneja Uhusiano wa Umma wa Vodacom Tanzania Bw. Matina Nkurlu (hayupo pichani)Promosheni hiyo imesha rasmi na imebadilisha maisha ya watanzania zaidi ya mia saba(700). 
Meneja Uhusiano wa Umma wa Vodacom Tanzania Bw.Matina Nkurlu (kulia)akibadilishana mawazo na baadhi ya washindi walijishindia pikipiki katika Promosheni ya Timka na Bodaboda  wakati alipokuwa akiwakabidhi pikipiki hizo, Promosheni hiyo ilikuwa ikiendeshwa na kampuni yake,imebadilisha maisha ya watanzania zaidi ya mia saba(700). 

Washindi  wa Promosheni ya Timka na Bodaboda wa Mkoa wa Dar es Salaam, Bi. Rose Lazaro (kushoto) na Levina Athman(katikati)wakisukuma pikipiki zao walizojishindia katika promosheni hiyo baada ya kukabidhiwa rasmi na Meneja Uhusiano wa Umma wa Vodacom Tanzania Bw. Matina Nkurlu (kulia) Promosheni hiyo imeisha rasmi na imebadisha maisha ya Watanzania zaidi ya mia saba(700).

Washindi  wa Promosheni ya Timka na Bodaboda wa Mkoa wa Dar es Salaam, Bi.Rose Lazaro (kushoto) na Levina Athman(katikati) wakisukuma pikipiki zao walizojishindia katika promosheni hiyo baada ya kukabidhiwa rasmi na Meneja Uhusiano wa Umma wa Vodacom Tanzania Bw.Matina Nkurlu (kulia) Promosheni hiyo imeisha rasmi na imebadisha maisha ya Watanzania zaidi ya mia saba(700).
Mshindi wa Promosheni ya Timka na Bodaboda mkazi wa jijini Dar es Salaam, Bw. Stanley Malio kushoto)akifurahia jambo pamoja na Meneja Uhusiano wa Umma wa Vodacom Tanzania Bw.Matina Nkurlu (kulia), baada ya kumkabidhi rasmi pikipiki hiyo.Promosheni hiyo imeisha rasmi na imebadilisha maisha ya Watanzania zaidi ya mia saba(700).

No comments:

Post a Comment