Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC), Yona Killagane akiwaonesha waandishi wa habari (hawapo pichani) ramani ya utafutaji wa Gesi na Mafuta leo, jijini Dar es Salaam. (Picha zote na Frank Shija - Maelezo)
Baadhi ya wataalam kutoka TPDC wakifuatilia maelekezo ya Mkurugenzi Mtendaji wa shirika hilo (hayupo pichani) wakati akiwaelezea waandishi wa habari maeneo sahihi ilipogundulika Gesi na Mafuta leo jijini Dar es Salaam.
Kaimu Mkurugenzi wa Utafutaji, Uzalisha na Huduma za Kiufundi wa Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC) Dkt. Emma S. Msaky (kushoto) akiwaeleza waandishi wa habari (hawapo pichani), namna visima vya utafiti wa mafuta na Gesi vinavyochimbwa katika mkutano uliofanyika leo jijini Dar es Salaam. Kulia ni Mtaalamu wa Jeolojia, Simon Zabron.
Baadhi ya waandishi wa habari wakifuatilia maelekezo kutoka kwa wataalam wa TPDC kuhusu masuala mbalimbali yanayohusu utafutaji na uchimbaji wa Gesi na Mafuta leo, jijini Dar es Salaam.
Picha zikionyesha eneo la bahari lililogunduliwa Gesi na Mafuta, ambapo baadhi ya visima vimeshachimbwa.
Picha zikionyesha eneo la bahari lilogunduliwa Gesi na mafuta na ambapo baadhi ya visima vimeshachimbwa.
No comments:
Post a Comment