TANGAZO


Wednesday, February 19, 2014

Serikali yatoa ufafanuzi kuhusu Baraza la Maaskofu wa Kipentekoste

 Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu Dkt. Florens Turuka aliyemwakilisha Katibu Mkuu Kiongozi akitoa taarifa ya ufafanuzi kuhusu Baraza la Maaskofu wa Kipentekoste Tanzania kutokuwa na uwakilishi katika Bunge Maalum la Katiba leo katika ukumbi wa Kurugenzi ya Mawasiliano ya Rais, Ikulu jijini Dar es salaam na kusema kuwa Serikali kwa namna yeyote ile haikuwa na nia ya kulibagua Baraza hilo na kama ilivyo kwa wananchi wote, litawakilishwa vyema na wajumbe walioteuliwa ambao wanajumuisha mjumbe aliyeteuliwa kutoka moja ya madhehebu yanayounda Baraza hilo.
Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu Dkt. Florens Turuka aliyemwakilisha Katibu Mkuu Kiongozi akitoa taarifa ya ufafanuzi kuhusu Baraza la Maaskofu wa Kipentekoste Tanzania kutokuwa na uwakilishi katika Bunge Maalum la Katiba.
Baadhi ya waandishi wa habari wakimsikiliza Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu Dkt. Florens Turuka aliyemwakilisha Katibu Mkuu Kiongozi alipokuwa akitoa taarifa ya ufafanuzi kuhusu Baraza la Maaskofu wa Kipentekoste Tanzania kutokuwa na uwakilishi katika Bunge Maalum la Katiba leo katika ukumbi wa Kurugenzi ya Mawasiliano ya Rais, Ikulu jijini Dar es Salaam.(Picha zote na Eleuteri Mangi-MAELEZO)
Baadhi ya waandishi wa habari wakimsikiliza Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu Dkt. Florens Turuka aliyemwakilisha Katibu Mkuu Kiongozi alipokuwa akitoa taarifa ya ufafanuzi kuhusu Baraza la Maaskofu wa Kipentekoste Tanzania kutokuwa na uwakilishi katika Bunge Maalum la Katiba leo.

No comments:

Post a Comment