TANGAZO

Thursday, February 20, 2014

Mkutano wa wadau wa Tehama wafanyika jijini Dar es Salaam

Kaimu Katibu Mkuu Wizara ya Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia Mh. John Mngodo akiogea na wadau wa Tehama wakati wa ufunguzi wa mkutano wa wadau hao leo jijini Dar es Salaam.

Mtendaji Mkuu wa Wakala ya Serikali Mtandao (eGA) Dkt. Jabir Bakari akitoa mada kuhusu matumizi ya “Broadband” katika shughuli za Serikali wakati wa mkutanao wa wadau wa Tehama nchini katika ukumbi wa NSSF Waterfront leo jijini Dar es Salaam.

Kaimu Katibu Mkuu Wizara ya Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia Mh. John Mngodo akiongea na waandishi wa habari mara baada ya ufunguzi wa mkutano na wadau wa Tehama nchini leo jijini Da es Salaam.

Kaimu Mkurugenzi wa ICT Wizara ya Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia Dkt. Ally Simba (kulia) akifafanua jambo kwa washiriki wa mkutanao wa wadau wa Tehama nchini katika ukumbi wa NSSF Waterfront leo jijini Dar es salaam. Katikati ni Mkurugenzi wa Smile Communication Tanzania Ltd Mark Redman, na wa kwanza kushoto ni Mkuu wa Operesheni Mfuko wa Huduma za Mawasiliano kwa Wote (UCSAF) Albert Richard.

Mkuu wa Kitengo cha cha ICT Broadband cha Taifa-TTCL Adin Mgendi  akitoa mada juu ya Wakati ujao tunaotaka kuuona wakati wa mkutanao wa wadau wa Tehama nchini leo katika ukumbi wa NSSF Waterfront jijini Dar es salaam na kubainisha kuwa TTCL imepanua wigo wa kutoa huduma ya mtandao wa mawsiliano (internet) ndani na nje ya nchi, katika nchi jirani zinazonufaika na huduma hiyo ni Kenya, Uganda, Burundi, Rwanda, Malawi na Zambia.

Baadhi  ya wadau wa Tehama  nchini wakifuatilia na kumsikiliza Mgeni rasmi  Kaimu Katibu Mkuu Wizara ya Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia Mh. John Mngodo wakati wa ufunguzi wa mkutano wa wadau hao leo jijini Dar es Salaam. (Picha zote na Eleuteri Mangi – MAELEZO)

No comments:

Post a Comment