Wajasiriamali mkoani Dodoma, wakishangilia jambo walipokuwa katika ukumbi wa Polisi Jamii walipokuwa kwenye mafunzo ya utengenezaji wa vitu mbalimbali kwa kutumia mikono, ikiwemo batiki, keki, ubuyu, krips na usindikaji wa vyakula na matunda yaliyoandaliwa na Kampuni ya Wajasriliamali Kwanza Entarprises ya jijini Dar es laam na kudhaminiwa na Benk ya wajasiriamali Tanzania (ACB).
Mkurugenzi wa Kampuni ya Wajasiriamali kwanza Dk. Didas Lujungu akifafanua jambo wakati alipokuwa azunguza na wajasiriamali wa mkoa wa Dodoma walioshirikai mafunzo ya utengenezaji na usindikaji wa bidhaa mbalimbali yaliyofanyika kwa siku 4.
Mkurugenzi wa Kampuni ya Wajasiriamali kwanza Dk. Didas Lujungu akifafanua jambo wakati alipokuwa azunguza na wajasiriamali wa mkoa wa Dodoma walioshirikai mafunzo ya utengenezaji na usindikaji wa bidhaa mbalimbali yaliyofanyika kwa siku 4.
Meneja wa kampuni hiyo Saravai Izinah akimtambulisha Meneja masoko wa benki ya wajasiriamali Tanzania Inocent Ishengoma, ambao ndiyo waliokuwa wadhamini wakuu wa mafunzo hayo yaliyodumu kwa kwa siku 4 na kujumuisha wajasiriamali 1000 walishiriki wa mkoa wa Dodoma.
Mkuu wa mkoa wa Dodoma Dk. Rehema Chimbi akizungumza na wajasiriamali wa mkoa huo wakati alipokuwa akifunga mafunzo ya siku 4 yaliendeshwa na Kampuni ya wajasiriamali kwanza kwa udhamini wa Benki ya akiba (ACB)
Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Dk. Rehema Nchimbi akimkabidhi Meneja Msaidizi wa benki ya wajasiriamali Tawi la Dodoma Christine Wacho na cheti cha ushiriki wa mafunzo ya wajasiriamali ambao pia walikuwa wadhamini wa mafunzo hayo yaliyofanyika kwa siku 4. (Picha zote na John Banda)
No comments:
Post a Comment