Msanii wa
muziki wa kizazi kipya Hamis
Ramadhan "H.Baba” akitumbwiza katika Bonanza la Global Breaking News ambalo
lilikuwa linawaelimisha wateja wanaotumia Mtandao wa Vodacom kuweza kupata
ujumbe mfupi wa tukio lolote ambalo litakuwa limetokea nchini kupitia simu zao
za mkononi ili kujiunga kupata huduma hiyo,mteja anatakiwa kutuma neno”Global
kwenda 15778. Bonanza hilo lilifanyika jana katika ukumbi wa Dar Live Mbagala
jijini Dar es Salaam.
Msanii wa
muziki wa kizazi kipya, Hamis
Ramadhan "H. Baba”akitumbwiza pamoja na wanenguaji wake wakifanya vitu vyao katika
Bonanza la Global Breaking News, ambalo lilikuwa likiwaelimisha wateja
wanaotumia Mtandao wa Vodacom kuweza kupata ujumbe mfupi wa tukio lolote ambalo
litakuwa limetokea nchini kupitia simu zao za mkononi. Ili kujiunga kupata
huduma hiyo, mteja anatakiwa kutuma neno Global kwenda 15778. Bonanza hilo
lilifanyika jana katika ukumbi wa Dar Live Mbagala jijini Dar es Salaam.
Wanenguaji wa Msanii wa
muziki wa kizazi kipya, Hamis Ramadhan "H. Baba”, wanaojulikana
kama Poteza poteza, wakifanya vitu vyao katika Bonanza la Global Breaking News
ambalo lilikuwa linawaelimisha wateja wanaotumia Mtandao wa Vodacom kuweza
kupata ujumbe mfupi wa tukio lolote ambalo litakuwa limetokea nchini kupitia
simu zao za mkononi ili kujiunga kupata huduma hiyo,mteja anatakiwa kutuma
neno”Global kwenda 15778. Bonanza hilo lilifanyika jana katika ukumbi wa Dar
Live Mbagala jijini Dar es Salaam.
No comments:
Post a Comment