TANGAZO


Saturday, February 15, 2014

Chuoni ya Zanzibar yapigwa tena nyumbani 2-1 Kombe la Shirikisho barani Afrika

Bendera za Tanzania na Zimbabwe pamoja na za Vyama vya Mpira wa miguu vya nchi hizo, zikipepea wakati wa mchezo wa marudiani, uliofanyika Uwaja wa Aman mjini Zanzibar leo. Chuoni katika mchezo huo imefungwa maba 2-1 baada ya mchezo wa awali uliofanyika nchini Zimbabwe kuchapwa kwa mabao 4-0 na HowMine ya nchi hiyo. (Picha zote kwa hisani ya ZanziNews)
Viongozi wa Vyama vya Mpira wa Miguu Barani Afrika wakifuatilia mchezo huo.
Beki wa timu ya Chuoni akimkwatua mchezaji wa timu ya HowMine ya Zimbabwe katika mchezo huo.
Mshambuliaji wa timu ya How Mine akijaribu kuwapita wachezaji wa timu ya Chuoni, wakati wa mchezo huo Uwanja wa Amani leo.
Mashabiki wa jukwaa la Urusi wa timu ya Chuoni, wakiishangilia timu yao hiyo katika mchezo.
Beki wa timu ya Chuoni akimzuia mshambuliaji wa timu ya How Mine, katika mchezo huo. Timu ya How Mine imeshinda 2-1.

No comments:

Post a Comment