Wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba kutoka Zanzibar, Abdi Mossi Kombo (kushoto), Rashid Ali Omar (katikati) na Yussuf Haji Khamis, wakijadili jambo kwenye viwanja vya Bunge kabla ya kuingia kwenye ukumbi wa Bunge kwa ajili ya kuanza kikao cha semina ya kujadili Rasimu ya Kanuni za bunge hilo, mjini Dodoma leo.
Wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba, Evodi Mmanda (kushoto), Mwanasheria Mkuu wa Seriali, Frederick Werema (katikati) na Ismail Jussa Ladhu, wakizungumza jambo wakati wakielekea kwenye ukumbi wa Bunge katika kikao cha kujadili Rasimu za Kanuni za bunge hilo leo.
Wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba, Augustino Mrema, Mwenyekiti wa Chama cha Tanzania Labour Party (TLP) na Suzy Laiser, wakijadili jambo wakati wakielekea kwenye ukumbi wa Bunge leo.
Mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba, Mwenyekiti wa Chama cha Democratic Party, Mchungaji Mtikila
akizungumza na waandishi wa habari, Viwanja vya Bunge, mjini Dodoma kabla ya kuingia bungeni kwa ajili ya kikao cha kujadili Rasimu ya Kanuni za bunge hilo leo.
Wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba wakielekea kwenye ukumbi wa Bunge, tayari kwa kikao cha kujadili Rasimu ya Kanuni za bunge hilo.Wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba, Hajji Omar Kheri (kulia), akiwaeleza jambo wajumbe wenzake, Waziri wa Nchi, Ofisi Rais, Mahusiano na Uratibu, Stephen Wassira (kushoto) na Waziri wa Fedha wa Serikali ya Zanzibar, Omar Yussuf Mzee, wakati wa semina ya kujadili Rasimu ya Kanuni za bunge hilo, mjini Dodoma leo.
Mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba, Mwenyekiti wa Chama cha Democratic Party (DP), Mchungaji Christopher Mtikila akichangia kuhusu Rasimu ya Kanuni za bunge hilo, wakati wa kikao chake, mjini Dodoma leo.
Wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba, wakisikiliza michango ya kujadili Rasimu ya Kanuni za bunge hilo, wakati wa kikao kilichofanyika leo, mjini Dodoma.
Mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba, Sheikh Mussa Kundecha, akichangia kuhusu Rasimu ya Kanuni za bunge hilo, wakati wa kikao hicho.
Mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba, Pauline Gekul akichangia kuhusu Rasimu ya Kanuni za bunge hilo, wakati wa kikao hicho.
Mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba, Pauline Gekul akichangia kuhusu Rasimu ya Kanuni za bunge hilo, wakati wa kikao hicho.
Mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba, Easter Bulaya (kulia), akichangia kuhusu Rasimu ya Kanuni za bunge hilo, wakati wa kikao hicho.
Mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba, Easter Bulaya (kulia), akichangia kuhusu Rasimu ya Kanuni za bunge hilo, wakati wa kikao hicho.
Mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba, Waziri wa Afya wa Serikali ya Zanzibar, Juma Duni Hajji akichangia kuhusu Rasimu ya Kanuni za bunge hilo, wakati wa kikao hicho.
Mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba, Profesa Juma Kapuya, akichangia kuhusu Rasimu ya Kanuni za bunge hilo, wakati wa kikao hicho.
Mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba, Anne Kilango, akichangia kuhusu Rasimu ya Kanuni za bunge
hilo, wakati wa kikao hicho.
Mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba, Anne Kilango, akichangia kuhusu Rasimu ya Kanuni za bunge
hilo, wakati wa kikao hicho.
Mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba, Asha Bakari Makame, akichangia kuhusu Rasimu hiyo ya Kanuni za bunge hilo.
Mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba, Hashim Rungwe, akichangia kuhusu Rasimu ya Kanuni za bunge
hilo, wakati wa kikao hicho.
Mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba, Hashim Rungwe, akichangia kuhusu Rasimu ya Kanuni za bunge
hilo, wakati wa kikao hicho.
Mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba, Waziri wa Nchi, Ofisi Rais, Mahusiano na Uratibu, Stephen Wassira akichangia kuhusu Rasimu ya Kanuni za bunge hilo, wakati wa kikao hicho.
Mwenyekiti wa Muda wa Bunge Maalum la Katiba, Pandu Ameir Kificho, akifafanua jambo wakati wa kikao cha kujadili Rasimu ya Kanuni za bunge hilo jana.
Wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba, Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Balozi Seif Ali Idd (kushoto) na Waziri Mkuu, Mizengo Pinda, wakipitia Rasimu za Kanuni za bunge hilo, wakati wa kikao hicho, mjini Dodoma leo.
Mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba, Mchungaji Peter Msigwa, akichangia kuhusu Rasimu ya Kanuni za bunge hilo, wakati wa kikao hicho.
Mfano wa Siwa la Bunge Maalum la Katiba, likiwa limewekwa katika sehemu yake wakati wa kikao cha kujadili Rasimu ya Kanuni za bunge hilo, kwenye ukumbi wa Bunge mjini Dodoma leo.
Mfano wa Siwa la Bunge Maalum la Katiba, likiwa limewekwa katika sehemu yake wakati wa kikao cha kujadili Rasimu ya Kanuni za bunge hilo, kwenye ukumbi wa Bunge mjini Dodoma leo.
No comments:
Post a Comment