TANGAZO


Wednesday, February 19, 2014

BREAKING NEWSS:::Lori la Mafuta ladondoka bondeni na kutekete kwa moto kwenye Mlima wa Sekenke


*Laua watu wanne

 Wananchi wakiangalia Lori baada ya kuungua
 Mabaki ya Lori hilo bada ya kuteketea kabisa na moto jioni hii
 Baadhi ya wasafiri wakitazama lori lililongua jioni hii.

 Bonde la Mlima Sekenke linavyoonekana na baadhi ya miti imeungua
 Hii ni njia ya mlima sekenke
Haya ni mabaki ya mwili wa mmoja ya watu walikuwam kwenye Lori hiloo. 


Moto ukimalizikia kwa mbaliii kama inavyoonekana.


Lori la mafuta limeanguka jioni hii katika eneo la Milima ya Sekenke mkoani Singida na kuua watu wanne hapohapo.

Chanzo cha ajali hiyo ni breki kufeli kukamata wakati lori hilo lilipokuwa linashuka mlima huo.

Shuhda wa ajali hiyo bwana Julius Chacha alipoongea na mtandao wetu wa Dj sek blog amesema kwamba Lori hilo lilipoacha njia lilipinduka na kuingia bondeni na kushika moto.

Akiendelea kuongea shuhda huyo alisema walishindwa kutoa msaada wowote kwa kwa moto uliposhika ulikuwa mkubwa na hawakuwa na vifaa vya kuokolea.

Watu wanne wamekuufa papo hapo kutokana na ajali hiyo.

Polisi walikuwa bado hawajafika eneoo la tukio mpaka tunaondoka eneo la tukio. (Picha zote na Habari na DJ Sek Blog)

No comments:

Post a Comment