TANGAZO


Wednesday, January 15, 2014

Waziri Nagu akutana na ujumbe wa wawekezaji kutoka China

Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Uwekezaji na Uwezeshaji), Dk. Mary Nagu (Mb), akiongea na wawekezaji kutoka China wanaotarajia kuwekeza katika ujenzi wa Bandari mpya Bagamoyo,  leo katika ukumbi wa mikutano wa Ofisi ya Waziri Mkuu, Dar es Salaam.
Wawekezaji kutoka nchini China wakimsikiliza Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Uwekezaji na Uwezeshaji), Dk. Mary Nagu (Mb) leo, katika ukumbi wa mikutano wa Ofisi ya Waziri Mkuu Dar es Salaam.
Baadhi ya wajumbe wa ujumbe wa wawekezaji kutoka nchini China ambao wanategemea kuwekeza katika ujenzi wa bandari mpya ya Bagamoyo, wakimsikiliza Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Uwekezaji na Uwezeshaji), Dk. Mary Nagu (Mb). (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments:

Post a Comment