TANGAZO


Friday, January 10, 2014

Rais Kikwete awaandalia Mabalozi sherehe ya kuuaga mwa 2013 na kuukaribisha Mwaka mpya wa 2014 Ikulu leo

Rais Jakaya Mrisho Kikwete katika picha ya pamoja Mabalozi
na wawakilishi wa Taasisi za Kimataifa wakati wa Sherehe ya
Kuukaribisha Mwaka Mpya (Sherry Party), aliyowaandalia Ikulu jijini Dar es Salaam leo, January 10, 2014. (Picha na Ikulu)
Rais Jakaya Mrisho Kikwete katika picha ya pamoja na Mabalozi
na wawakilishi wa Taasisi za Kimataifa, wanawake wakati wa
Sherehe ya Kuukaribisha Mwaka Mpya (Sherry Party), aliyowaandalia Ikulu jijini Dar es Salaam leo, January 10, 2014
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akihutubia Mabalozi na wawakilishi wa taasisi za Kimataifa wakati wa Sherehe ya Kuukaribisha Mwaka Mpya (Sherry Party), aliyowaandalia Ikulu jijini Dar es Salaam leo January 10, 2014.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akihutubia Mabalozi na wawakilishi wa taasisi za Kimataifa wakati wa Sherehe ya Kuukaribisha Mwaka Mpya (Sherry Party), aliyowaandalia Ikulu jijini Dar es Salaam leo January 10, 2014.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete na viongozi wengine akisikiliza
hotuba toka kwa Balozi wa DRC nchini, AJuma thumani Mpango
ambaye pia ndiye Kiongozi wa Mabalozi nchini akihutubia wakati
wa Sherehe ya Kuukaribisha Mwaka Mpya (Sherry Party), Ikulu jijini Dar es Salaam leo, January 10, 2014.
Rais Jakaya Kikwete akisalimiana na Balozi wa Vatican nchini Tanzania,Francisco Padila wakati wa hafla aliyowaandaliwa mabalozi wanaoziwakilisha nchi zao nchini, za kuugaga mwaka 2013 na kuukaribisha Mwaka Mpya wa  2014, Ikulu, Dar es Salaam leo. (Picha zote na Richard Mwaikenda)
Balozi wa Urusi nchini (katikati), akiwa na Mabalozi wenziwe
Balozi wa Tanzania nchini Marekani, Mulamula (katikati) akibadishana mawazo na mabalozi wenziwe
Baadhi ya mabalozi wanaoziwakilisha nchi zao nchini wakisikiliza wakati Rais Jakaya Kikwete akihutubia

Rais Jakaya Kikwete akihutubia katika sherehe hizo za kuukaribisha mwaka mpya Ikulu, Dar es Salaam leo.
 Mabalozi wakipiga makofi baada ya kufurahishwa na hotuba ya Rais Kikwete.
Mkuu wa Mablozi wanaoziwakilisha nchi zao hapa nchini, Balozi wa DRC Kongo, Khalfan Mpango akihutubia kwa niaba ya mabalozi hao.
                                Mpango (kulia) akihutubia. Kushoto ni Rais Jakaya Kikwete.
Rais Jakaya Kikwete akiteta jambo na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard Membe katika hafla hiyo.
Rais Jakaya Kikwete akipongezana na Balozi Juma Athumani Mpango wa Congo DRC.
Rais Jakaya Kikwete akisalimiana na Balozi wa Urusi nchini.
Rais Jakaya Kikwete akisalimiana na mabalozi wa nje wanaofanyakazi zao nchini.
Rais Jakaya Kikwete akisalimiana na Balozi wa Uingereza nchini.
   Rais Jakaya Kikwete akisalimiana na Balozi wa Zambia nchini, Elizabeth Phili.
  Rais Jakaya Kikwete akisalimiana na Balozi mdogo wa Marekani nchini.
Rais Jakaya Kikwete akisalimiana na mmoja wa Mabalozi wa nje wanaofanyakazi zao nchini.
Rais Jakaya Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na  mabalozi
Rais Jakaya Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na mabalozi wanawake
Rais Jakaya Kikwete, akiongozana na Mabalozi wanawake wanaofanyakazi nchini.
Rais Jakaya Kikwete akiwa na Balozi Mdogo wa Burundi nchini, Prefere Ndayshimiye.

No comments:

Post a Comment