TANGAZO


Saturday, January 11, 2014

Rais Dk. Shein awatunuku Nishani Marais wastaafu wa Zanzibar

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Ali Mohamed Shein, akimtunuku nishani ya Mapinduzi Rais mstaafu wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Amani Abeid Karume, katika hafla iliyofanyika Viwanja vya Ikulu, mjini Unguja leo, katika shamra shamra za Miaka 50 ya Mapinduzi ya Zanzibar. (Picha zote na Ramadhan Othman, Ikulu)
Mke wa Rais wa Zanzibar, Mama Mwanamwema Shein akibadilishana mawazo na Marais wastaafu wa Zanzibar ambao walikuwa pia Wenyeviti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Amani Abeid Karume (katikati) na Dk. Salmin Amour Juma (kushoto), katika hafla ya kutukuku nishani  katika hafla iliyofanyika Viwanja vya Ikulu, mjini Unguja leo, ikiwa ni katika shamrashamra za Miaka 50 ya Mapinduziya Zanzibar. (Picha  zote na Ramadhan Othman Ikulku)
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Ali Mohamed Shein, akimtunuku nishani ya Mapinduzi Rais mstaafu wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Salmin Amour Juma, katika hafla iliyofanyika Viwanja vya Ikulu, mjini Unguja leo, ikiwa ni katika shamrashamra za Miaka 50 ya Mapinduzi ya Zanzibar

No comments:

Post a Comment